MTOTO WA MIEZI 3 ATEKETEA KWA MOTO MBEYA, TAZAMA PICHA ZA TUKIO HILO LA KUHUZUNISHA
|
Mjomba wa Marehemu akiwa amebeba mwili wa mtoto Clara Honest ambae ana umri wa miezi mitatu mwili wa mtoto huyo umeteketea kwa moto |
Chumba
ulimokutwa Mwili wa marehemu Clara Honest
|
Polisi wakiondoka na mwili wa mtoto huyo |
Mama mzazi wa mtoto Crala akilia kwa uchungu kulia ni binti wa kazi Chanzo cha moto huo hakijajulikana Picha kwa hisani ya Luhanga |
0 comments: