BAADA YA KUANGUKIA PUA KATIKA TUZO ZA BET NA MTV, HATIMAYE DIAMOND ATWAA TUZO YA KORA


Diamond Platinumz
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki.  
Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu zaidi.
CHETI


0 comments: