Majambazi tena!! MWENYEKITI HALMASHAURI YA USHETU NA DEREVA WAKE WACHARANGWA MAPANGA NA KURUSHIWA RISASI WAKIWA SAFARINI
Dereva akiwa Hospitali ya wilaya ya Kahama
Kulia
ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Juma akiwa Hospitali ya Wilaya
ya Kahama baada ya kujeruhiwa vibaya kwa Risasi na Mapanga na majambazi
akitokea safarini mkoani Tanga
Diwani
wa Kata ya Nyankende akimjulia hali Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu
Juma Kimisha katika Hospitali ya Wilaya ya kahama
Gari aliyokuwa akisafiria Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu SM 10032 likiwa imevunjwa vioo kwa Risasi
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kahama Juma Protas ( wa pili kulia) akimjulia hali Mwenyekiti huyo mwenye Bandeji mkononi.
0 comments: