BREAKING NEWSSS..!! JESHI LA POLISI KAHAMA LIMELAZIMIKA KUFYATUA RISASI ZA MOTO, BAADA YA WANANCHI KUCHOMA MOTO WATUHUMIWA
Maafisa wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika kwaajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu.
Inasemekana watuhumiwa
hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na
kujeruhi kwa mapanga watoto wawili usiku wa kuamkia leo
Endelea kufatilia mtandao huu na muda si mrefu tutawaletea taarifa Kamili.
0 comments: